Swali: Ni ipi hukumu ya kumfanya mnyoa ndevu kuwa ni shahidi juu ya ndoa?

Jibu: Ushahidi wake unasihi pamoja na dhambi yake. Huyu ni muislamu mtenda dhambi. Ushahidi wake unasihi. Haina neno. Hakufanya kitu chenye kusababisha kukataa ushahidi wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (42) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2011%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 14/03/2017