Swali: Inajuzu kula kichinjwa cha mkristo ikiwa tuna uhakika kuwa amechinja kwa jina la al-Masiyh?

Jibu: Allaah ameturuhusu kula na alijua kuwa wanachinja kwa jina la al-Masiyh. Tunatendea kazi Aayah:

وَطَعَامُ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ حِلٌّ لَّكُمْ وَطَعَامُكُمْ حِلٌّ لَّهُمْ

“Na chakula cha wale waliopewa Kitabu ni halali kwenu, na chakula chenu ni halali kwao.” (05:05)

Bi maana vichinjwa vyao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%203-11-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017