Mmoja anawekeza, mwengine anafanya kazi

Swali: Je, kampuni ambayo mtu mmoja anawekeza pesa yake na mwengine anajitolea kwa kusimamia kazi?

Jibu: Hiyo ndio hesabu. Mmoja anawekeza pesa na mwengine anasimamia kazi. Kisha baadaye wanagawanya faida kutokana na vile walivokubaliana.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (30)
  • Imechapishwa: 19/02/2022