Mkopo msikitini


Swali: Ni ipi hukumu ya kukopesha msikitini?

Jibu: Mambo ya kidunia hayajuzu msikitini. Haijuzu kuuza, kununua na kukodisha msikitini.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (84) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17577
  • Imechapishwa: 28/12/2017