Swali: Mkojo na damu ya wanyamahoa ni najisi?
Jibu: Mkojo na kinyesi cha wanyama wanaoliwa ni msafi. Kuhusu damu hapana. Damu inayochirizika ni najisi. Lakini mkojo na kinyesi wa mnyama anayeliwa, kama mfano wa ngamia, ng´ombe au kondoo – ni msafi.
Swali: Farasi?
Jibu: Na farasi pia. Mkojo wa farasi ni msafi kwa sababu farasi analiwa pia.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21699/حكم-دماء-وابوال-البهاىم
- Imechapishwa: 17/09/2022
Swali: Mkojo na damu ya wanyamahoa ni najisi?
Jibu: Mkojo na kinyesi cha wanyama wanaoliwa ni msafi. Kuhusu damu hapana. Damu inayochirizika ni najisi. Lakini mkojo na kinyesi wa mnyama anayeliwa, kama mfano wa ngamia, ng´ombe au kondoo – ni msafi.
Swali: Farasi?
Jibu: Na farasi pia. Mkojo wa farasi ni msafi kwa sababu farasi analiwa pia.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21699/حكم-دماء-وابوال-البهاىم
Imechapishwa: 17/09/2022
https://firqatunnajia.com/mkojo-na-damu-ya-wanyamahoa-ni-najisi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)