Mke ni msafiri nyumbani kwa familia yake


Swali: Ikiwa familia ya mke inaishi mbali masafa ya kufupisha swalah. Na yeye pia anabaki huko kwa muda unaoruhusiwa kufupisha swalah. Mke atamfuata mume na kufupisha swalah au atawafuata familia yake na kuswali kikamilifu?

Jibu: Atamfuata mume wake. Ikiwa mume wake ameenda naye, atamfuata mume wake. Anapoenda kwa familia yake anazingatiwa ni msafiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (12) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdah%20Fiqh-19-10-1434_0.mp3