Mke mvivu wa swalah


Swali: Mke wangu ni mzito wa swalah. Humnasihi na kila siku humkumbusha na kumkemea, lakini hata hivyo wakati mwingine anakuwa mzito. Nitangamane naye vipi?

Jibu: Endelea kumlazimisha swalah. Usimchukulie wepesi. Aendelea pamoja naye na uwe ni mwenye subira. Usimfanyie wepesi hata siku moja.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
  • Imechapishwa: 01/05/2018