Mke mnaswara au myahudi anamrithi mume muislamu?

Swali: Mke wa kiyahudi au wa kinaswara anamrithi mume wake ambaye ni muislamu?

Jibu: Hapana, atamrithi vipi?

Vitu vitatu vinamzuia mtu kutokamana na mirathi

utumwa, kuua na kutofautiana kwa dini

Kutofautiana kwa dini ni kikwazo cha kurithi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (106) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoul%20lahfan-%2027-03-1441.mp3
  • Imechapishwa: 01/10/2020