Mke mgomvi ni kama kutonatona kusikoisha

13 Mwana mpumbavu ni maangamizi ya babaye,

naye mke mgomvi ni kama kutonatona kusikoisha.

14 Nyumba na mali hurithiwa kutoka kwa wazazi,

bali mke mwenye busara hutoka kwa Bwana.

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mithali 19:13
  • Imechapishwa: 17/01/2020