Mke kutumia dawa ya kuzuia mimba mwanzoni mwa ndoa

Swali: Inajuzu kwa mwanamke aliyeolewa punde tu kutumia dawa ya kuzuia mimba bila mume wake kujua na hilo ni kwa sababu ya kuogopa kwake kutoafikiana kati yake yeye na mume wake?

Jibu: Haijuzu kufanya hivi. Huku ni kumhadaa mume  wake. Hili halijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
  • Imechapishwa: 16/07/2017