Mke kumweleza mume yaliyopitika kabla ya ndoa


Swali: Mwanamke huyu anasema kuwa alitumbukia katika madhambi makubwa kabla ya ndoa. Je, ni wajibu kwake kumwambia mume wake kitendo hichi au vipi atatubu…

Jibu: Ni juu yake kutubu kwa Allaah na asitiri nafsi yake na himdi zote ni Zake Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-01-05-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 20/09/2020