Swali: Inajuzu kwa mke kuwaonyesha uso wake shemeji zake na kukaa pamoja nao?

Jibu: Inajuzu ikiwa amekaa kando mwenyewe. Hata hivyo ni lazima kwake kujisitiri. Asiwaonyeshe kitu katika uso wala mwili wake. Kwa sababu ni ajinabi kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir%20ayat-03-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 21/06/2020