Swali: Mke wangu anajisitiri bila ya kufunika uso. Nimejaribu sana…

Jibu: Vipi ni mwenye kujisitiri pasi na kufunika uso wake? Hijaab yake ni pungufu. Amefunika mwili wake lakini sio uso. Hijaaba yake ni pungufu.

Swali: Nimejaribu sana lakini hata hivyo hakufunika uso wake. Je, ni wajibu kwangu kumtaliki au niendelee kujaribu mara nyinginezo?

Jibu: Akiendelea kung´ang´ania kuonyesha uso wake mtaliki. Ama ikiwa kuna matarajio kuwa atafunika uso wake, endelea kujaribu naye. Huenda Allaah akamwongoza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%208%20-%2011%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017