Swali: Je, mwanamke aseme “Aamiyn” kwa sauti anaposwali nyuma ya mume wake au watoto wake wa kiume ikiwa hakuna mwanamume ajinani nyuma ya mume?

Jibu: Hakuna neno ikiwa hakuna wanaume ajinabi wakapewa wakafitinika kwa sauti yake. Hakuna neno ikiwa ni wanawake tu, watoto wake au mume wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/12060
  • Imechapishwa: 14/11/2017