Mke anayemsusa mume wake kitandani

Swali: Mke akimsusa mume wake kwenye kitanda inaruhusu kwake kumpiga?

Jibu: Inafaa kwake kumpiga kipigo kisichoumiza. Inafaa kwa mume kumsusa pia kama ambavo inafaa pia kumpiga. Lakini ampige kipigo kisichoumiza. Inahusiana na kipigo chepesi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21653/ما-حكم-ضرب-الزوجة-اذا-هجرت-الفراش
  • Imechapishwa: 08/09/2022