Swali: Je, inafaa kwa mke kutoka pasi na idhini ya mume wake kwa ajili ya kuwatembelea majirani zake walio karibu zaidi?

Jibu: Hapana. Asitoke pasi na idhini ya mume wake. Haki ya mume wake inatangulia mbele ya haki ya ndugu jamaa zake na majirani zake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (30)
  • Imechapishwa: 20/02/2022