Mke amechinja ´Aqiyqah pasina idhini ya mume

Swali: Dada yangu pindi alipoona mume wake anachelewa kuwachinjia ´Aqiyqah watoto wao ndipo yeye akaenda kununua mbuzi/kondoo na akamchinja pasi na idhini kutoka kwa mume wake. Je, inafaa kwake kufanya hivo?

Jibu: Endapo angelimuomba idhini ingelikuwa ni bora zaidi. Lakini ni sahihi – Allaah akitaka. ´Aqiyqah hii ni sahihi – Allaah akitaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa ´alaa al-Hawaa´ http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/1436-03-02.mp3
  • Imechapishwa: 01/12/2017