Mkazi wa Makkah anataka kuhiji kutokea Madiynah

Swali: Mtu ambaye anatokea Makkah na akasafiri kwenda Madiynah kwa ajili ya kazi. Alipokuwa njiani kuelekea Makkah akanuia ´Umrah. Aingilie Ihraam wapi?

Jibu: Kwenye miyqaat ya Madiynah, kutoka Dhul-Hulayfah.

Swali: Mtu anayetoka Makkah yuko nje ya miyqaat na anataka kuhiji. Aingilie Ihraam wapi?

Jibu: Kwenye miyqaat. Hukumu yake ni kama ya wengine wote walioko kwenye miyqaat.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (20) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-6-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 04/01/2020