Mkazi Kuswali Swalah Ya Naafilah Juu Ya Mpando


Swali: Je, inajuzu kwa mtu kuswali Swalah ya Naafilah kwenye gari katika hali ya ukazi?

Jibu: Ikiwa hawezi na hana namna ya kushuka na kuswali Dhuhaa, kama mfano wa madereva wa TAX, anaweza kuswali hata kama itakuwa ni juu ya gari.

  • Mhusika: Firqatunnajia.com
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-5-23.mp3
  • Imechapishwa: 09/11/2014