Mjane mwenye huzuni kutoka kwenda kwenye hifadhi


Swali: Kuna mjane ana huzuni mkubwa baada ya kufa mume wake. Je, watoto wake wanaweza kumtoa jangwani au kwenye hifadhi wakati wa eda yake ili kuondokwa na huzuni huu uliompata?

Jibu: Ikiwa huzuni wake ni mkubwa, hakuna neno kumtoa kwa kipindi kifupi ili kuondokwa na huzuni huu halafu mnamrudisha. Ama ikiwa ni huzuni wa kawaida hapana. Jengine kutoka huku kuwe mchana na mnarudi mchana huohuo. Kulala ni lazima alale nyumbani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (83) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-15-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 12/01/2018