Swali: Mitume wanatokamana na wanaadamu tu au miongoni mwa majini kuna Mitume pia?

Jibu: Masuala haya yana tofauti ndogo. Walichoafikiana juu yake na kukubaliana ni kwamba Mitume wanatokamana na wanaadamu. Majini yanawafuata wanaadamu na kwamba katika majini hakuna Mtume yeyote.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (62) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13740
  • Imechapishwa: 16/11/2014