Mitume siku ya Qiyaamah watahesabiwa?

Swali: Je, Mitume siku ya Qiyaamah watafanyiwa hesabu na kupimwa matendo yao kama wengine?

Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi. Lililo dhahiri ni kwa watu wote. Mizani ni kwa watu wote.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (78) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/taf_3_1_1433.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020