Miti na majani yanayoota makaburini


Swali: Makaburi ya mji wetu kumeota miti kama kwamba yameyafunika makaburi. Je, bora ni kuondoshwa miti hii au iachwe?

Jibu: Bora ni kuiondosha miti hii kwa kuikata ili watu wasije kuamini kuwa ina baraka au mfano wa hayo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Maajiyd (54) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16490
  • Imechapishwa: 16/09/2017