Swali: Misiba ya mja inafuta madhambi yake?

Jibu: Kunaweza kuwa kunafuta madhambi yake ikiwa ataridhia makadirio na mipango ya Allaah ambapo akasubiri. Katika hali hii kunafuta madhambi yake. Ama akikata tamaa na akakasirika, inakuwa ni adhabu kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (81) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%B4%D8%B1%D8%AD%20%D9%81%D8%AA%D8%AD%20%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AC%D9%8A%D8%AF%20-24-07-1439%20%D9%87%D9%80.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 28/09/2018