Swali: Utumiaji wa Qaat ni khafifu au ni khatari kuliko sigara?

Jibu: Qaat ni khatari zaidi kuliko sigara. Vyote viwili ni haramu. Vyote viwili ni vyenye kulevya. Vyote viwili ni vyenye harufu mbaya. Vyote viwili ni vyenye kusababisha maradhi. Lakini hata hivyo Qaat ni yenye madhara zaidi na kwa ajili hiyo ni aula zaidi kuwa haramu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsirayat-12-07-1435-01_0.mp3
  • Imechapishwa: 19/05/2018