Mikusanyiko kwa maiti baada ya siku arobaini


Swali: Baada ya siku arobaini tokea siku ile maifi amekufa watu wanakusanyik. Je, hili ni jambo la ki-Bid´ah?

Jibu: Ndio. Ni jambo la ki-Bid´ah. Baada ya siku arobaini hakuna mikusanyiko, si kwa maiti wala kwa mwengine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (85) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17635
  • Imechapishwa: 23/06/2018