Mikono hainyanyuliwi baada ya adhaana na baada ya swalah

Swali: Je, kunyanyua mikono baada ya adhaana na kabla ya Iqaamah inahesabika ni jambo lililowekwa katika Shari´ah?

Jibu: Hapana. Si jambo lililowekwa katika Shari´ah. Mikono hainyanyuliwi baada ya adhaana wala baada ya swalah. Aombee pasi na kunyanyua mikono.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (79) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-9-2-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 05/03/2018