Huenda unasikiliza mkanda wa Safar al-Hawaaliy, Salmaan [al-´Awdah] au watu wengine. Unasikia hamasa, hisia na uchochezi.

Ni kweli ninawazungumzia vibaya watawala. Lakini hata hivyo siiti katika migomo wala mapinduzi. Bali uhakika ni kwamba ninawakataza wale wanaoita katika migomo na mapinduzi. Ninawakataza. Kwa nini? Kwa sababu sisi tunaitakidi kuwa raia ni waumini na waislamu na matatizo yatakuja kuwarejelea waislamu masikini kwa mkabala wa wanajeshi na wengine. Pengine ukapenda mkanda. Lakini katikati yake kuna mambo usiyoyafahamu wala kuyajua.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://muqbel.org/sounds.php?sound_id=30