Miji ya makafiri ni mibaya na khatari zaidi

Swali: Baadhi ya miji ya Kiislamu inaupiga vita Uislamu na kuna maovu mengi. Je, katika hali kama hii inajuzu kusafiri kwenda katika mji wa kikafiri?

Jibu: Katika miji ya makafiri madhambi ni makubwa zaidi. Abaki katika mji wa Kiislamu ijapokuwa kuna maovu asiyoweza kuyaondosha. Abaki huko.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (81) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%B4%D8%B1%D8%AD%20%D9%81%D8%AA%D8%AD%20%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AC%D9%8A%D8%AF%20-24-07-1439%20%D9%87%D9%80.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 26/10/2018