Midhali sio kafiri


Swali: Kumfanyia uasi mtawala ambaye ni mtenda madhambi ni jambo ambalo liko na tofauti? Kuna ambao wanasema kuwa ni jambo limefungamana na manufaa na madhara.

Jibu: Tuachane na mambo haya. Haijuzu kumfanyia uasi mtawala ambaye ni muislamu, hata kama ni mnyanyasaji au ni mtenda madhambi, midhali hajatoka katika dini.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa' al-Maftuuh fiy Masjid Qubaa' http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17626
  • Imechapishwa: 20/02/2018