Swali: Je, ni wajibu kuhajiri kutoka katika miji iliyofunguliwa na waislamu hapo zamani kisha baadaye ikarudi kwa makafiri?

Jibu: Ndio, ni mamoja nchi msingi wake ilikuwa ya makafiri tokea mwanzo au imegeuka kuwa nchi ya kikafiri huko baadaye. Kinachozingatiwa ni kwamba ni nchi ya kikafiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (50) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah%20Fiqh-06-05-1437.mp3
  • Imechapishwa: 09/03/2019