Michanganyiko makazini


Swali: Karibu nitarudi katika nchi yangu. Nitahitajia kazi lakini sehemu za kazi zote kuna mchanganyiko wa wanaume na wanawake. Unaninasihi nini?

Jibu: Fanya kazi katika nchi isiyokuwa na mchanganyiko. Safiri na ufanye kazi mahala pa kazi ambapo hakuna mchanganyiko.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 08/07/2018