Miaka mitatu mgonjwa amelisha kwa kutoweza kufunga


Swali: Kuna mwanamke anaumwa maradhi ya ini. Daktari amemkataza kufunga kwa muda wa miaka mitatu. Katika mwaka huu amefunga Ramadhaan na amefunga Sitta Shawwaal. Anauliza kuhusu miaka iliyopita ambayo hakufunga kutokana na daktari alivyomwambia, lakini alilisha kwa kila siku moja masikini. Kuna nini juu yake?

Jibu: Hana juu yake kitu. Maadamu hakuweza kulipa, inatosheleza kwake kulisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (38) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-01-06.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014