Mhimidi Allaah katika swalah baada ya kuchemua

Swali: Ni wajibu kumhimidi Allaah endapo mtu atapiga chafya ndani ya swalah?

Jibu: Ndio, amhimidi Allaah, lakini asinyanyue sauti yake. Ni jambo limewekwa katika Shari´ah kumhimdi Allaah wakati wa kuchemua.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf%2030-7-1434_01.mp3
  • Imechapishwa: 15/06/2020