Mguu wa kulia kwa mkono wa kulia na wa kushoto kwa mkono wa kushoto

Swali: Je, ni lazima kuosha mguu wa kuliani kwa mkono wa kuliani na mguu wa kushotoni mwa mkono wa kushotoni?

Jibu: Hakuna dalili kutoka katika Sunnah. Ni maoni tu [ya baadhi ya wanazuoni].

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 118
  • Imechapishwa: 01/07/2022