Mgonjwa wa homa kujitibu kwa kunywa mkojo wa ngamia

Swali: Je, inajuzu kunywa mkojo wa ngamia?

Jibu: Ndio. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameamrisha kuunywa kwa yule aliyepatwa na homa. Inajuzu kuunywa kwa kuwa ni msafi. Mkojo wa ngamia ni msafi na inajuzu kujitibu nao na kuunywa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-5-11.mp3
  • Imechapishwa: 14/11/2014