Mgonjwa mwanamke kwenye chumba kimoja na daktari wa kiume

Swali: Inajuzu kwa daktari mwanaume kuwa faragha na mgonjwa mwanamke kwenye chumba kimoja?

Jibu: Hapana. Haijuzu kwake kuwa faragha na mwanamke:

“Mwanaume hatokuwa faragha mwanamke isipokuwa wa tatu wao atakuwa ni shaytwaan.”[1]

Kwa hiyo asiwe nae faragha.

[1] at-Tirmidhiy (2165).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (72) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighassat%20-11-01-1439h.mp3
  • Imechapishwa: 17/12/2017