Mgonjwa aliyepitwa na swawm kwa sababu ya maradhi afanye nini?


Swali: Mgonjwa aliyepitwa na swawm kwa sababu ya maradhi afanye nini?

Jibu: Allaah akimponya basi alipe yale masiku anayodaiwa. Maradhi yakiendelea kumwandama na akakata tamaa ya kupona basi alishe kwa kila siku moja masikini.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (19/121-122)
  • Imechapishwa: 09/06/2017