Mgonjwa aliyekufa pasi na kufunga Ramadhaan


Swali: Mamangu alipatwa na maumivu ya maradhi kwa muda wa miaka mine na akafa pasi na kufunga Ramadhaan. Ni ipi hukumu?

Jibu: Alishe kwa kila siku moja masikini.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (19/116)
  • Imechapishwa: 07/06/2017