Mfungaji kutumia udi mchana wa Ramadhaan


Swali: Je, inajuzu kutumia vitu vyenye harufu nzuri kukiwemo udi mchana wa Ramadhaan?

Jibu: Ndio, inajuzu kuvitumia kwa sharti asivuti pumzi ya moshi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (15/267)
  • Imechapishwa: 26/05/2018