Mfanya matabano kuzungumza na jini


Swali: Inajuzu kwa mwenye kufanya matabano kuzungumza na jini na akamuuliza jina lake, nani kamtuma na ni wapi upo uchawi?

Jibu: Amsomee tu. Asianze kuzungumza naye na mfano wa hayo. Anatakiwa kumsomea Qur-aan, Sunnah na du´aa zenye kuruhusiwa. Asimuulize.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (64) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/28-07-1438h-fathou.mp3
  • Imechapishwa: 29/07/2017