Mchungaji anapitwa na swalah ya ijumaa


Swali: Ninafanya kazi kama mchungaji kwenye gereza. Mara moja kwa mwezi ninalazimika kufanya kazi wakati wa swalah ya Ijumaa. Nifanye nini?

Jibu: Sio wajibu kwake kuswali swalah ya Ijumaa. Mchungaji aswali Dhuhr sehemu yake. Ni mwenye kupewa udhuru.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-02.mp3
  • Imechapishwa: 03/06/2018