Swali: Ni sahihi kwamba imewekwa katika Shari´ah kuunguza na moto nyumba ya mchawi akiwa ndani?

Jibu: Hapana. Hakukuthibiti kuwa nyumba ya mchawi inaunguzwa na moto akiwa ndani:

“Hakuna anayeadhibu kwa Moto isipokuwa Mola wa Moto.”[1]

Lakini anatakiwa kuuawa kwa kukatwa shingo.

[1] Abu Daawuud (2673).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (61) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid-%2029%20-0%206-1438.mp3
  • Imechapishwa: 06/08/2017