Mchawi anaswaliwa?


Swali: Mchawi ambaye amesimamishiwa hadd anaswaliwa?

Jibu: Mchawi ni kafiri. Amesimamishiwa hadd ya kufuru na sio ya kutwaharishwa. Anauawa kwa ajili ya kufuru na sio hadd. Maadamu ni kafiri haswaliwi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (63) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13810
  • Imechapishwa: 16/11/2014