Swali: Babu yangu amekufa na hakuwa muislamu ambapo famila yangu ikaniomba msaada wa kipesa kwa ajili ya mazishi ambayo hayatosalimika kutokamana na mambo ya shirki na maovu. Je, inafaa kwangu kuwapa msaada?

Jibu: Hapana. Ikiwa si wenye kufuata Sunanh wala dini, usiwasaidie katika batili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (104) https://www.alfawzan. af.org.sa/sites/default/files/13-03-1441%D9%87%D9%80~1_0.mp3
  • Imechapishwa: 19/12/2020