Mchanganyiko wa wanaume na wanawake harusini      

Miongoni mwa mambo ya haramu ni wanaume kuchanganyika na wanawake katika sherehe hizi za harusi. Sivyo tu, bali vijana wanachanganyika na wasichana na huenda mbali na mchanganyiko kukatokea kucheza – simaanishi katika nchi yetu hii, nasikia kuwa katika mnasaba huu kuna mchanganyiko kati ya wanaume na wanawake na wanacheza katika nchi zingine – huku ni kuikufuru neema [ya ndoa].

Lililo la wajibu kwetu ni kuwaweka mbali wanaume na wanawake. Hawa tuwaweke sehemu yao na hawa wengine sehemu yao.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (11)
  • Imechapishwa: 03/05/2020