Mchanganyiko serikalini


Swali: Mimi na mke wangu tulikuwa tunataka kubadilisha pasipoti mahakamani ambapo tukaanza kugombana kuhusu mchanganyiko na wanawake wasiojisitiri walioko huko.

Jibu: Mtazame mke wako na mwache aandamane na wewe. Mwache aende huko anakolazimika kwenda. Lakini hata hivyo ni lazima ajihifadhi na awe pamoja na wewe. Malizeni mahitajio yenu kisha mwende zenu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (62) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd14-07-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 06/08/2017