Mbwa kavukavu inapogusa chombo


Swali: Mbwa ikiramba kwenye nguo au ikagusa mwili inaunajisi na ni wajibu kupaosha mara saba?

Jibu: Ni vipi mbwa itaramba nguo? Mbwa inaramba chombo na sio nguo. Mbwa ikiwa na majimaji inanajisi kile inachokigusa. Lakini ikiwa haiko kavukavu hainajisi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (70) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%20-%2019%20-0%207%20-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 10/09/2017