Wanatambua kwamba nchi ya mayahudi (دولة اليهود), na si kwamba ni “Israaiyl”…  Ni wajibu mtahadhari. Haijuzu kuwashaji´isha mayahudi kuita nchi yao “Israaiyl”. Kuiita kwa neno lingine mbali na “mayahudi” kunasababisha mapambano ya waislamu dhidi ya mayahudi kwenda matupu. Hii ni siasa ya vyombo vya khabari. Wangereza ndio walikuwa wa mwanzo kuwawezesha mayahudi kuasisi nchi. Baada ya hapo Marekani.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (836)
  • Imechapishwa: 15/02/2019