Mawaidha, nasaha na du´aa mwisho wa mwaka

Swali: Kuna ambao wanakhusisha mawaidha, nasaha na du´aa mwishoni wa mwaka. Je, ni sahihi?

Jibu: Hapana. Ni Bid´ah. Haijuzu kukhusisha mwisho wa mwaka wa Hijiryyah kwa sherehe, hongera, Dhikr au du´aa. Haijuzu. Salaf walikuwa hawafanyi hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14331228.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015